Soma Habari
Soma Habari kutoka kwenye Blog mbalimbali Hapa Tanzania.
Soma Habari kutoka kwenye Blog mbalimbali Hapa Tanzania.
Sikiliza Redio mbalimbali kutoka hapa nchini Tanzania.
Angalia Video za Habari kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Download Sasa Kwenye Android
Kupitia App ya Gazeti Lite utaweza kusoma habari mpya kutoka kwenye tovuti mbalimbali zinazo aminika hapa nchini Tanzania, Hivyo huna haja ya kuwa na Apps tofauti za Habari kwani Gazeti Lite ina kilakitu.
App ya Gazeti Lite imetengenezwa kwenye mpangilio mzuri ambao unaweza kusaidia kupata habari zaidi kutoka kwenye tovuti unayo ipendelea zaidi bila hata muingiliano wa matangazo.
Kupitia App ya Gazeti Lite utaweza kupata habari mpya kila siku na mara baada ya kupata habari hizo utaweza kuzisoma hapabri hizo baadae bila hata kuwa na Internet.
Mbali ya kukupa habari app ya Gazeti Lite inakupa uwezo wa kipekee wa kusoma maoni mbalimbali yanayotolewa kwenye habari kutoka kwenye tovuti mbalimbali za habari za hapa nchini Tanzania.
App ya Gazeti Lite ina muundo mzuri ili kuhakikisha unasoma habari kwa haraka bila kusumbuliwa na matangazo wala muundo mbovu.
See moreKama ni mara yako ya kwanza kutumia app ya Gazeti Lite lazima utaipenda kwani inakupa habari kwa haraka na inafunguka kwa haraka.
See moreApp ya Gazeti Lite pia inakupa nafasi ya kupata ujumbe kila habari mpya yenye maana inapoandikwa kwenye tovuti mbalimbali za Tanzania.
See moreApp ya Gazeti Lite inafanya kazi kwenye simu zote za Android, pia app hii ni ndogo kiasi cha MB 6 tu hivyo haitachukua nafasi kubwa kwenye simu yako.
See more